Bondia Hamisi Belege kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika
ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani anaewasimamia kulia ni kocha Sakwe Mtlya Picha na www.superdboxingcoach.
|
NA MWANDISHI WETU
BONDIA Lulu Kayage yupo katika maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Mariam Abdallahutakaofanyika Desemba 25 katika
ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani
akizungumzia mpambano huo Kayage amesema kuwa mimi nafanya mazoezi mwaka mzima niwe na mechi niwe sina mechi hivyo nipo fiti wakati wowote kucheza mpambano huo kwani mimi kwa sasa ndie nataraji kuwa bingwa kwa upande wa wanawake
hivyo wanawake wanaoweza kuhimili vishindo vya mchezo wa masumbwi wajitokeze ili kuleta changamoto ya mchezo huo unaopendwa na watu wengi duniani wakiwemo wanawake
unajua mimi naiga staili ya Leila Ali ambaye alikuwa bingwa wa mchezo wa masumbwi duniani na mpaka sasa amestaafu bado ana heshimika hivyo nataka nifate nyayo zake hivyo naomba mashabiki wengi wajitokeze waje kutuunga mkono na kututia moyo wa kuendelea kuupenda mchezo wa masumbwi
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments:
Post a Comment