Bondia Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao ambapo Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na King class mawe atazidunda na Mohamed Kashinde desemba 31 katika ukumbi wa msasani klabu kulia ni kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli 'Masta' Picha na BLOG YA SUPER D |
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Iddy Mnyeke yupo katika mazoezi mazito akijiandaa na mpambano wake na Cosmas Cheka utakaofanyika desemba 31 katika ukumbi wa msasani klabu jijini ar es salaam
akizungumzia mpambano huo mnyeke amesema cheka ni mtoto mdogo sana anazani anaweza kusafiria nyota ya kaka yake ajue ameingia anga nyingine hivyo ata kiona cha mchema kuni kwa mimi sio kama mabondia aliewai kuwashinda
Mnyeke ambaye anafanya mazoezi katika kambi ya ilala jijini Dar es salaam ameongeza kwa kusema siku hiyo watu waje kwa wingi wangalie anavyo mchakaza na kuongeza kuwa waje yeye na kaka yake ili apate msaada wakati atakapo mwangusha chini kwa ngumi kali misri ya nondo
ambazo zitakazo msambalatisha raundi za awari kwani yeye ni cha mtoto kwake
Add caption |
Katika mchezo huo kutakuwa na michezo mingine ambapo bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ataoneshana ubabe na Mohamed Kashinde,Antony Mathias akizipiga na Fadhili Majiha katika mchezo mwingine ni kati ya Fransic Miyeyusho wa Tanzania akizichapa na David Chalanga kutoka Kenya
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments:
Post a Comment