ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 29, 2013

KISOMO CHA GHAZAL OMAR KUFANYIKA LEO JUMAPILI NORTH CAROLINA

Wandugu wapendwa, siku ya leo Jumapili saa 8 Mchana tutakutana kwa Kamugisha anuani,
6309 Winding Arch Dr.
Durham, NC 27713
Kwa ajili ya Kisamo/Dua ya kumuombea kijana wetu mpendwa Ghazal Omar(Bingwa). Kama desturi zetu, Wakina mama chakula, (chochote unachoweza) na wanaume vinywaji. Tunawaomba mzingatie muda kutokana na program maalum ya siku hiyo.
Mungu awabariki wote, na aipokee roho ya marehemu peponi
.

1 comment:

Anonymous said...

R.I.P Bro