Majanga haya yalitokea huko Pennsylvania Turnpike magari zaidi ya 30 yalikwama kutokana na snow siku ya boxing day. Kalinje kalinje hii ilisababisha foleni kwa umbali wa mile 5 bump to bump juu snow bila kusogea.
Habari ndiyo hii kukiwa na snow hakuna hata raha ya kuwa barabarani maana lolote linaweza kukukuta kutoka na snow kutanda barabarani, na ukaona safari yako ni mikosi. Hali hii ilitokea huko PA watu walisherekea boxing day wakiwa kwenye traffic iliyosababishwa na ajari kwa umbali wa mile 5 bila gari kusogea.
No comments:
Post a Comment