Kutoka kushoto no Mama Khadija Mwinyi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula na mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakiwa kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Jumamosi Dec 7, 2013 jijini Oakland "JIJI LA WAJANJA" California na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka kila kona ya California wakiwemo marafiki zao majimbo ya jirani.
Mama Khadija Mwinyi na Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha.
Balozi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiwa meza kuu na Rais mstaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara uliofanyika Jumamosi Dec 7, 2013 Jiji la Wajanja Oakland, California.
Meza kuu wakati wa wimbo wa taifa.
Wahudhuriaji waliojumuika pamoja kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara Jiji la Wajanja Oakland California wakipata ukodak moment.
Wageni waalikwa katika picha.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment