Mmoja wa majeruhi akipelekwa kwenye gari la wagonjwa baada ya paa la ukumbi wa maonyesho wa Apollo wa London, Uingereza kuanguka wakati wa onyesho likiendelea na kujeruhi watu 5 mkasa huo ulitokea usiku wa kuamkia leo mjini London sababu za kuanguka kwa paa hilo bado hazijajulikana lakini wengi wanafikiria ni kwa sababu ukumbi huo ni wamiaka mingi.
Mmoja wa majeruhi akiwa kwenye gari la wagojwa huku akiwa anapatiwa huduma ya kwanza.
Watoa hudumu kwa majeruhi wakiwa kazini.
shughuli za kuwasaidia majeruhi zikiendelea.
mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma.
picha kwa hisani ya Zimbio.
No comments:
Post a Comment