ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 27, 2013

RAIS KIKWETE ATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA MUHIMBILI


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).

2 comments:

Anonymous said...

Unawafariji unawajejea we umekwenda usa hukujua muhimbili ipo u make me fill sorry of u any way aso mtu ana mungu tutafika kwa uwezo wake

Anonymous said...

Asante Mdau wa Kwanza. Umesema kweli kabisaa. Kwa nini Rais wetu J.K. hatibiwa Muhimbili! Na alivyokwenda kuwatembelea anawasaidiaje? I wish angewasaidia kwa kuwapeleka Marekani kama afanyavyo yeye.