RODGERS EXPORTS LLC. INATOWA HUDUMA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA, (USA) KWENDA (DSM NA ZNZ) TANZANIA
Tunawatangazia watanzania wote na marafiki wanaoishi hapa USA na wale wanaoishi tanzania, Hudumazetu za usafirishaji mizigo kutoka USA kwenda Tanzania. Safirisha mizigo yako kupitia Rodgers Exports LLC, Kwa usalama wa mizigo yako kutoka hapa USA kwenda Dar es Salaam Zanzibar Tanzania.
Kumbuka Rodgers Exports LLC inapokea mizigo inayonunuliwa na watanzania mbali mbali na marafiki wanaoishi njee ya USA, na kusafirisha mizigo hiyo Tanzania, Ndugu mtanzania na marafiki nunuwa bizaa bora zinazotengenezwa hapa USA, (Use Rodgers Exports LLC Address for Delivery), wasiliana na Haji kwa maelekezo zaidi kuhusu huduma zetu mbali mbali.
RATIBA YA UKUSANYAJI WA MIZIGO (Up North), (PA,NJ,NY,CT,MA) DECEMBER- 28 TO 29 WASILIANA NA HAJI
919-672-6063
Kontena letu litaondoka (january-20), watuwote wanaopendelea kutumia huduma zetu, na hatutaweza kuwafikia katika ukusanyaji wa mizigo tunawaomba kutumia Acc# yetu ya FedEx Ground kwa kuleta mizigo (NC)
Get 50% off Discount when using FedEx ground to ship your products to Rodgers Exports LLC, Office NC
HAJI ABDULLA
CEO RODGERS EXPORTS LLC
FOLLOW US ON FACEBOOK www.facebook.com/ RodgersExports
FOLLOW US ON TWITTER @RodgersExports
No comments:
Post a Comment