Anaitwa Happy Job 12
Anaitwa Happy Job miaka 12
ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi Darasa la sita Amepotea tangu ijumaa aliondoka kwenda shule ila hakurudi mpaka sasa yeyote atakae muona atoe taarifa kwa namba hizi
0757 29 40 16 au 0766 86 59 64
No comments:
Post a Comment