Advertisements

Monday, December 2, 2013

WASHIRIKI WAWILI WA MISS TANZANIA USA PAGEANT WALALAMIKIA MATOKEA HAYAKUWA YA HAKI, WASEMA JOY KALEMERA ANASTAHILI USHINDI WENGINE NI KWA SABABU YA UKABILA

Julia Nyerere
Hellena Nyerere
Washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant wana ndugu wawili, Julia Nyerere na Hellena Nyerere katika ukurasa wao wa facebookb wamepost malalamiko yao kuhusu uchaguzi wa washindi na kuuita haikuwa sasa hihi kwani wanaamini walistahili kuwemo kwenye nafasi mshindi wa kwanza hadi wa tatu na kukejeli kwa kuiita Miss Bukoba USA Pageant, Vijimambo ilimpigia simu Julia Nyerere na haya ndiyo madai yake.

Hawa ndio waliokuwa majaji kutoka kushoto ni Miss Sierra Leone, Peter Walden na aliyekuwa Miss District Of Columbia 2012 na Vijimambo ilitaka kujuwa ukweli juu ya tuhuma hizi na iliongea na jaji Mtanzania aliyekuwa mmoja wa majai usiku huo, Peter Walden na haya ndio aliyosema.
Vijimambo bado inaendelea na juhudi za kumtafuta mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey tusikie upande wake.

51 comments:

Anonymous said...

you should all know that any competition involve a bukoba native competitor and a bukoba native organizer you know whats the deal yall

Anonymous said...

Jamani lazima tukubali matokeo!!!! DJ Luke, maswali ni mazuri na watu watakaoweza kujibu haya maswali ni majudge. Hawa majudge na most of wanakamati hatukujua makabila ya hawa macontestants. Please DJ Luke watafute majudge watueleze walikuwa wanaangalia nini? This is very strong accusations. NOBODY WAS SELECTED BEFORE THE PAGEANT SHOW. WANAKAMATI NA FOUNDER WAS OUT OF DECISION MAKING. THE DESICION WAS MADE RIGHT THERE BASED ON THEIR PERFORMANCE. HOW CAN YOU GO PUBLIC TO ACCUSE SOMEBODY WAKATI HUNA HATA UHAKIKA NA MAKABILA YA CONTESTANTS. MATOKEO YALIKUWA FAIR NA PLEASE LET BE CAREFUL TUNAPOONGEA PUBLIC KULALAMIKA LAZIMA UWE NA EVIDENCE. BADO NINA SWALI HUU UKABILA UNAOZUNGUMZWA UNATOKEA WAPI? HOW MANY CONTESTANTS ARE WAHAYA???????? NANI ANAUHAKIKA KUWA WASHINDI WALICHAGULIWA KABLA YA SHOW???
Mbona wengine hawasemi?? There were 9 contestants.

Anonymous said...

Well said Walden, kubalini matokeo and move on!

Anonymous said...

Dada mlalamikaji naye ni muhaya maana ana shepu la kihaya. Joy kalemera kabeba jina tu huyo anafaa kuwa muethiopia. Muhaya guu, kiuno, paja na dark chocolata

Anonymous said...

Mimi binafsi tatizo langu ni kuhusu mshindi kiuitwa "Miss Tanzania USA" Je, mabinti wote wa kitanzania wanaoishi USA walipewa mialiko ama kushirikishwa? Kama watanzania wenzetu wanaishi Alabama, Florida na Georgia wakiamua kufanya mashindano haya na mshindi wakamwita "Miss Tanzania USA" ni yupi atakayetambulika ki-ofisi?

Anonymous said...

Man please..hao wanaolalamika ningwkuwa mimi jaji ningewaweka wa nane na wa mwisho. Wametiwa maneno na watu yasiyokuwa na maana na wao wakaamini kwamba they were the best. I was there and u can tell joy was too far beyond the competition. Walden umesema ukweli they need to learn and come back stronger..sio kusikiliza maneno ya mtaani. Those are the words of a loser. Hata kama angekuwa wa pili na wa tatu who cares its only one winner.

Anonymous said...

dada unaelalamika nakubaliana na wewe kabisa kwasababu muandaaji anatokea wapi ?alafu na yule aliempeleka kugombania kwa mara ya kwanza alikua peke yake miezi iliopita alikua anatokea wapi? na uyo mshindi mbona amjatueleza kapati zawadi gani ?au ndio maua tuu maana nataka kumleta mwanangu mwakani agombanie naitaji majibu wadau wenzangu.

Anonymous said...

HAHAHAHAHAHA ISHOMILE MPAKA USA.....KAZI KWELI KWELI

Anonymous said...

Hapo hatamie najiuliza... Wabongo bwana. Nchi ina State 51 wewe unaita hii kitu MISS TZ USA

Anonymous said...

NEXT ...

Anonymous said...

too late for that business Lol!!!
buni nyingine

Anonymous said...

kubabilisha kabila ni bure!!!! changamkia fomu

Anonymous said...

Ni wajibu wa muhitaji kutafuta. Ni wajibu wa wasichana kusoma magazeti kusocialize, ili kuelewa kinachoendelea duniani. Maisha yamebadilika sasa. Jikalie ndani usubiri kuambiwa! uione dunia ya sasa. Survival for the fittest!

Anonymous said...

Hawa watoto hawana basisi ya kulalamika, asiyetaka kushindwa si mshindani. Majaji wameangalia vigezo vingi, siyo uzuri wa sura au umbo tu peke yake. Ni pamoja unavyojieleza, unavyomudu stage, dress code rules n.k. Mathalani mavazi, huyo mmoja wa walalamikaji badala ya kuvaa nguo ndefu kuonyesha evening dress kama wengine walivyovaa yeye anavaa nguo fupi kuonyesha miguu! Halafu unategemea ushindi. Tuache kulalamika bila valid reasons, kuaccusse watu na kuchafuliana heshima. Tusikimbile kutumia majina ya waliopumzika kwa amani kisivyo for personal egoistic reasons.

Anonymous said...

Aliyetuloga WaTZ aliishakufa. Yale yale ya CHADEMA chama cha wachagga!! Kwa hakika ni aibu sana tena inapofanywa na vijana wa kizazi kipya. Kama hizi fikira mfu za kunasibisha ukabila kama mkakati wa kujenga hoja dhaifu ungekuwa unafanywa na vijana wa zamani (wazee) tungeweza kuelewa. Lakini kizazi hiki hiki cha karne ya facebook - am speechless:(

Anonymous said...

luka hivi ayo unayoulizaga n maswali au maelezo huwa sielewagi

Anonymous said...

I was disappointed to realize that Julia was not even sure of the tribe(s) of the 2nd and 3rd winners. Her accusations were solely based on speculations!! Why did she then go public without hard facts?

However, I do not necessarily trash Julia's feelings because I have heard other people express similar feelings, but she should have done a little more homework before going public. I think most such feelings may be anchored on the long-held stereotype about hayas. The stereotype is that favoritism is common in dealings with hayas!

Anonymous said...

Julia mdogo wangu umeniangusha katika hili. Ulipaswa kutetea mtizamo wako kwa uhakika zaidi!!!

Anonymous said...

Heeeh! Makubwa....anyway, kwa uelewa wangu naona mlalamikaji hakua na haja yoyote ya kulalamika kwa kweli. sikumbuki mshindi wa pili na tatu ni nani, lakini pia mlalamikaji anatakiwa kuelewa kuwa asiekubali kushindwa si mshindani,ina maana yeye aliingia akiwa na 100% uhakika kuwa atashinda then hiyo sio competetion basi..Pia siwajui vizuri waha Nyerere sisters but kuna mmoja I think ndio ali qualify kuingia ktk mashindani...as I believe vigezo vilivotakiwa ni figure ya ki miss,
pia kuna mtu ameongelea kuwa state nyingine hawakuhusishwa nadhani hilo ni la msingi pia kujadiliwa
thanx

Anonymous said...

Mdau hapo juu umetoa point kubwa. Miss Tanzania USA anajulikana wapi? Acheni kutizingua. Na hao ma judge walituzingua. Mimi nilifikiri mshindi ni yule mtoto wa PA. Alipendeza, alicheza na kajibu maswali vizuri. Namala pia. Mi nawakumbuka wachache ambao walifanya something. Julia na Helena walifanya vizuri wangekuwa kwenye top 4. Na yule mtoto aliulizwa swali hakujua ajibu nini mshaurini aende shule. Hii ni aibu. Next time mkifanya jaribuni kuwashirikisha wa tanzania. Ile ilikuwa show ya wa west. Au achieni wa tz wafanye. Hii crown ingefutwa ma judge watafutwe wa maana show ianze upya. Kwanza yale maswali yote yalikuwa yamefanana ni yameulizwa kiutofauti. Poleni sana mnaoona mmedhulimiwa. Mi na wa support. Sio kosa lenu. Ni maandalizi yalikuwa mabaya sana. Next time same people wakifanya naomba tujiunge asiende mtu. Sio chuki bali ilikuwa tu kupoteza muda wa watu. Huu ni ukweli hata kama unauma someboday has to say something. Mdau.... out

Anonymous said...

Wahaya alwayz wana roho mbaya wanapenda sana kutumia watu kwa manufaa yao, unapokua na muhaya siku zote atakurudisha nyuma tu kwakua wanatamaa mbele mauti nyuma. wapo na tunawajua. pole sana Dada Julia Nyerere kweli aliosema Babu yako umeyaona sasa na ndio maana wengi tunajitenga nao.

Anonymous said...

1. Luke niajiri niwe nakufanyia interview kama hizi, yani huyu dada umemwacha bila kujibu maswali mengi sijui unamuopa?!

2. Mie sikuwepo na sikai DC ila kwa kuangalia picha za hawa watoto (Julie na Helen) hapa kwenye blog yako, kwakweli sipendagi they way wanavyo ji-portray themselves (the act and look ghetto). Kunawakati nilikuwa siwajui ila nilisikiliza mahojiano ya mama yao na JP nikasema mama anajua kule but nilipo kuja kuwaona hao watoto hapa kwako I was really shocked! Nikasema mmh! hivi hawa ndo watoto mama yao alikuwa amesema anawaleya kimaadili ya ki Tanzania?!-kweli nyani haoni kundule!!

3. Jinsi anavyo jieleza (Julie) ni majaga tuuu, bora kashika hiyo nafasi ya 5

4. Julie na Helen niwazuri but I don't think walistahili kuingi kwenye tano bora.please am not a hater just honestly speaking!!

5. Watu DC hawakuonyesha ushirkiano, but nimefurahi kuona picha za watu wenye heshima zao sio wale "ma-drama queen" wa DC. Mnatupa moyo siye wazazi kuweza kuruhusu watoto wetu kushiriki next yr.

6. Watanzania tupendane, tupo USA bado unaogelea ukabila? seriously?

7. Ma Winny acha ukabila nyie wahaya mmezidi sana (Mie mtani wako usichukulie seriously)

Anonymous said...

TEHE TEHEE,
Kwa kweli Wa-Tanzania inatakiwa tufike mahali na tuone aibu ya mambo tunayoyafanya huku ughaibuni. Inakuwa ni aibu kila kuchapo, mara siasa amekuja mwanasiasa aseme lake aungwe mkono na wachache ukiacha maelfu ya WaTanzania walioko America. Hii ni aibu! Ninyi washiriki mlitarajia kutokee nini wakati mnajua kabisa hii imeandaliwa kwa minajili ya umaarufu tu! Tuanzishe jinsi ya kusaidia vizazi vyetu kule nyumbani tuache ulumbano na starehe zinazomwaga fedha bila maendeleo. Wengine wetu mnajua kabisa ugumu wa na jinsi mnavyopigika hapa mjini haya asante. Tubadilikeeee.

Anonymous said...

Mimi sielewi kwanini Watu wamekasirika sana. Hao ni watoto NA nyie Watu wazima mnaangaika nao kama amna kitu kingine cha kufanya. Wameongea opinion zao. Baada ya hilo wakaambiwa WA clarify kwenye interview japokua walishatoa hizo status mtu alishacopy. Mtu mwingine angeandika msingelalamika, au mnaona wana maana sana. Alafu pamoja NA hayo yote, nyie mnaongea, amwezi kuthubutu kuwaambia live so bakini tu hivyo hivyo mlivyo, anonymous.

Anonymous said...

Sasa kama huo suo ubaguzi ndio nini sista, mtu lazima awe mwembamba kua miss au model? Kama jibu huna, pole.

Anonymous said...

Sidhani kama umeelewa point yangu, sijasema kwamba washindi wote walikua wahaya. Ungeona status yangu originally ungeelewa. Asante.

Anonymous said...

I think you missed the point, I never said that all of the winners came from the same place, that is why it did not matter that much. Thanks.

Anonymous said...

Kuhusu mavazi, kila mtu alikua ameambiwa vitu tofauti. Mimi mwenyewe (Julia) nilikua nimeleta nguo fupi, bahati nzuri nilikua NA nguo nyingine. Kuna hata contestant mwingine (Alice) ambae alivaa nguo fupi based on what she was told. Alafu pia, umekosea, Helena akulalamika kuhusu results, only me. And Nina huakika NA ninachokisema. Labda kama hujui the full story, bora tu unyamaze because at the end of the day, kuna vitu vingi ambavyo sijavisema. And kingine, kinachoshangaza, kwanini opinion zetu zinawagusa sana. Angekua mwingine ambae anastate hizi opinion, wouls it really matter. Alafu because im so sure with what im saying, i promise ukweli utajitokeza regardless. Asante.

Anonymous said...

Opinion ya kila mtu ina ukweli kwake because it is there opinion. Huyu Dada amestate opinion yake kwenye fb yake kama wewe unavyostate yako. Bahati mbaya au nzuri, kwasababu yeye ni mtu maarufu ilikua published Pole kama imekuudhi sana.

Anonymous said...

Kwa maoni ynagu huyu mlalamikaji hakustahili hata kushika hiyo nafasi ya tano. Ukisikiliza mahojiano yake na jinsi anavyojieleza anaonysha mapungufu makubwa ya kujiona yeye bora zaidi kuliko wengine wakati hali halisi si hivyo. Sikiliza mahojiano ya DJ Luke na yule mshindi ambaye licha ya usishindi lakini alijihumble na kurecognize washindani wenzake na kuwapa moyo. Hii ni fani tofauti na siasa, kama anataka kufuata nyayo za Babu na Mama aende kwenye majukwaa ya siasa, huko ndiko kwenye uwanja wa malumbano. Ametoa allegations ambazo hazina supporting evidence, mmoja wa majaji amemjibu vizuri sana na huu mjadala hauna sababu ya kuendelea unless anataka kujitafutia umaarufu ambao haustahili.

Anonymous said...

Ukisoma hiyo comment ya mlalamikaji mkuu hapo juu, utaona ukweli kwamba kumbe mnapoteza muda kubishana na huyu binti, bado anahitaji msaada mkubwa wa kishule, kiuandishi, kimaadili na kiuzungumzaji, vitu ambavyo ni mojawapo ya vipaji muhimu vinavyohitajika na kizazi cha leo. Kiswahili shida kiingereza hivyo hivyo... kweli kuna kazi kubwa!!!

Anonymous said...

ushuzi mtupu

Anonymous said...

jamani wahaya hawana roho mbaya ila wana roho za kwa nini, it is just them. na kuhusu mshindi Joy deserved it fullstop! na kuhusu maandalizi, they could have planned it better, but all in all it is a learning curve. sasa pigeni mswaki mkalale nyeh!

Anonymous said...

Watu mnachuki binafsi. Waacheni Nyerere's walalamike ni haki yao.wengine kina House Wife mnalalamikia waandaaji kwa Wivu na Chuki zenu binafsi. Miaka yote uliyokaa hapa U.S.A mbona hukufikiria kuanzisha wewe? Sasa hivi limefanywa na wengine Roho inakutukutia Usingizi upati. Anyway ni kawaida yako Mama Mawivu iga basi Mwakani maana huchelewi. Kwani U Designer vipi maana huna mwelekeo kuiga huwa hakuleti maendeleo bali kukuharibia hahaaaaaaaaaa! Nyerere's Iam proud of you girls! Hata mie nilitegemea mngeingia tatu bora lakini ndio hivyo imeshatokea but msijali kwani..UKIWA MZURI MZURI TU... Hata wakikuzibia lakini UZURI WAKO HAWATA KAA KUWA NAO! I LOVE YOU NYERERE'S JUST MOVE ON!

Anonymous said...

We mdau wa dec 3 3.29pm una issue zako binafsi... Mtu Zima ovyoooooooo... Huyo unaemsema alikuwepo kwenye show kutoa support... Acheni Roho mbaya jamani Mungu hapendi.. Na akina Nyerere girls u r better than this.. Helena malalamiko yake nayasupport it was unprofessional but na mama whinny nae nampa credit yake, huyu mama anajitahidi sana na Hana support but Kama ni makosa madogomadogo ni kumuelewesha na kushirikiana nae ili next time iwe better.. Julia mama siwezi kucomment kitu kuhusu ubaguzi kwani unaongelea kutokana na experience yako but maswala ya ushindi na kujiamini ulikua ushinde hapo kidogo ungekuwa diplomatic maana ktk hao wanane wote walikuwa na hope ya kushinda.. Duniani kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa you need to come back stronger next time.. Hawa watoto ni wadogo and I can tell kuna watu wazima behind this.. Shame on you wote ambao mme exploit their weekness for Ur own dramas... Watu wa DC mana feed on others troubles .. Punguzeni magomvi na drama ,sisi watu wazima naw engine ni mabibi kabisa... Namaliza kwa kusema hongera mama winny endelea mama utafika tu.. Na hongera mshindi we tu na washiriki wote , kwani wote ni wazuri na vijana wa kesho.. Na wote ni wa TANZANIA .

Miss Bukoba (the hot chick) said...

Lmaoooooooo... Ivi watanzania mna matatizo gani? First of all huyo msichana aliyeshiriki Mwaka Jana aliyewaambia muhaya ni nani? 2.no wonder watanzania hatuendelei instead of dealing with today ur still dealing with yesterday..msweewww. 3instead ya kuangalia what to be done in the future ili kuleta mashindano bora mmeng'ang'ania kumbuka tu..4..by the way where on the advertise said only wahaya should come out I thought it was for any girl who is Tanzanian...5 ..u know y it appeared to be haya girls.. cause they know they are hot and have confidence... Instead of learning what to do mmekalia umber a tu... Nipisheni Huko... Ivi Julia seriously did u expect to win I wonder how one of u got into top 5 at least Aisha angeingia top 5...... Tokeni Huko NEXTTTTTTTTT

Anonymous said...

Kumbuka sisi wote ni WATANZANIA KWANZA!!!!

Anonymous said...

Hao watoto wanatakiwa washauriwa kwamba wafocus na mambo ya shule zaidi na kupata exposure. Mimi nikikuwepo na kwa kweli walivyojibu maswali a walivyojirepresent I felt bad on their behalf. Inabidi na waandaji waangalie jinsi ya kuwatayarisha hawa mabinti zetu kwenye future pageants.

Anonymous said...

Anajulikana huyo ni kibibi chenye wivu na watoto wadogo.. Muacheni ahesabu mapengo yake.maneno mengi hana chochote.. K il a kitu lazima amsakame mtoto wa watu au unaona wivu wakwako huko tz hawana muelekeo? Na mama winny safi sana kushtukia mapema.. Showilikua kabambe mahaters yatabki hivohivo.. Mbona hamkuja hata kussuport na nyie ndie mlikua wa mbele kenye casting? You all need to get a life .. Julia n helena u r beautiful msijiingize ktk drama za dc.. Wenzenu hawa watu wazima na hayana life.. Nyie wadogo bado jengeni future na nawaombea kila la kheri.. Hii mikurumbembe ya dc itawalostisha

Anonymous said...

Umenifurahisha na comment yako. Aliyetuloga watz alishakufa. Inasikitisha kama tunaendekeza ukabila hata huku. Ni aibu sana, shomile ni shomile. Labda wachagga nao waanzishe housewife ......

Anonymous said...

I cant wait Video ya hii shughuli itoke wote mnaowasupport na kuwalostisha hawa watoto mtaona haya. PLEASE KAMATI NA MA WINNY make sure the whole event is published ili watu waelewe haya matokeo kama judge alivyoeleza. Kama show ilikuwa ni kuonyesha culture kama Julia anavyoeleza why will anybody wear short dress?? Huo si utamaduni wa Kitanzania. Kama video yake inavyoeleza HAKUWA NA UHAKIKA WA KABILA LA MTU YEYOTE ZAIDI YA THE CROWNED QUEEN JOY NA KASEMA HANA MATATIZO NAYE SO WHAT ARE YOU REALLY TALKING ABOUT?? WHY ARE WE EVEN STILL DISCUSSING THIS?? SIKILIZA MAHOJIANO YA JUDGE WALDEN UTAPATA MAJIBU KAMA HAYARIDHISHI MPIGIE DJ LUKE AKUPE NAMBA YAKE YA SIMU AKUELEWESHE ZAIDI.

Anonymous said...

JAMANI, CHONDE CHONDE, NAWAOMBENI MUACHE TABIA YA KUKASHFU MAKABILA YA WATU. WATANZANIA TULISHATOKA ENZI HIZO. NI VIBAYA SANA KUTOA KASHFA ZA JUMLA JUMLA, MAANA YAKE MNAKASHFU WATU WENGINE AMBAO HATA HAWAHUSIKI. MATHALANI BALOZI WETU MPYA ANATOKA KABILA HILO HILO LINALOSEMWA VIBAYA, LAKINI TANGU AMEKUJA HAPA DC AMEONYESHA MOYO WA UPENDO MKUBWA NA MASHIKAMANO KWA KILA MTU NA KILA KIKUNDI CHA JUMUIYA YA WATANZANIA. TUSIPENDE KUTOA SWEEPING GENERALIZATIONS NA STEREOTYPES AMBAZO ZIMEPITWA NA WAKATI. KAMA UNA TATIZO NA MTU FULANI AU CHUKI BINAFSI BASI DEAL NA MTU HUYO AT THE INDIVIDUAL LEVEL. NASHAURI DJ LUKE AFUNGE MJADALA HUU. LET US MOVE ON.

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu 7:28am bora unyamaze maaana unakurupuka tu bila kujua why hawa watoto walivaa nguo fupi!!msonyooooo! Kulikuwa na upinzani mkubwa wa aina gani za nguo zitakazovaliwa usiku huo, Washindani woote walikuwa wanatakiwa kuvaa eti Kanga tu ambazo zingeshonwa na ma winny mwenyewe. walikatazwa watoto wetu kununua nguo zao za Evening Dress eti watavalishwa za khanga lakini washindani wengine waliambiwa vingine. Wakati wa mashindano ndio wakaambiwa wanaweza kuvaa nguo zao sasa cha kushangaza hao washindi walikuwa na hizo Evening Dresses that means waliambiwa na hawa wengine wakaishia kuchukua nguo zao tu walizokuwa nao hapo Hotelini maana hawakuwa na njinsi yaaani mbona niishie apo maaana nikiendelea nitajaza blog ya Dj Luke. WATANZANIA BORA MNYAMAZE MAANA KUNA MENGI MNOO.

Anonymous said...

Welaa welaaaaaa!!! Tulijua KIMBAOMBAO WEWE MWIKO WA PILAU UTAUMIA SAAANA NA HILI! HAHAAA! HALUUUUU! JUST GOT PAID! THANKS CEO MAMA WINNY . SASA SUBIRI TUNAFANYA SHEREHE YA KUPONGEZANA WANAKAMATI WOOOTE SIJUI UTAKUNYWA SUMU KWA WIVU SIKU IYO! HUNA HADHI WEWE KAA UPIKE KACHORI HAHAAAA.

Anonymous said...

Kwanza kabisa napenda kumpongeza mama winniy shughuli ilikua nzuri na Hasa Upande wa majaji wamefanya kazi nzuri ,tuacheni kulalamika ndugu zangu mlikua mnataka mama winnie amuweke baby sitter ndio awe Jaji? wakati KIdhungu kichwani kilishakimbia nyerere sisters no matter what nyinyi ni wazuri na hii ilikua ni changamoto tuu .

Anonymous said...

Wewe hapo juu kama unajeuri achia jina lako ili ujumbe ufike! Baby sitter? Hahaaaaaa Baby sitter wewe unaemlelea watoto mumeo wakati kwenu hata nyumba choo haina. Do me a favor! Jenga msingi wa kupitisha maji machafu mbele ya nyumba yenu maana ile mibata na maji machafu hatari kwa afya ya wazazi wako!Hahaaaaaaaaa Ding Dang ! You have been selved mtaa wa pili by Me ! You know what time it is ! Dj Luke yaaani hii blog yako naipenda mpaka basi!

Anonymous said...

Auuuuuw the Team Ms TZ U.S.A Oyeeeeee! Asante saana mtaa wa pili na wengineo kwa kutupay attention na kila tufanyalo mmmmmmh inatuzidisha ujeuri na Maringo na mashauzi yetu Hahaa! Kimbaumbau na Dragola tutawalipia mikorogo yenu ya mwezi wooote huu hahaaaaaaaa! Yes we did ! Yes we will always do! We made a history! Kaaa uendeleee kununa!

Anonymous said...

Hahaaaa! Kwiiikwiiikwiiiiiiii! Happy kamati ya Ms Tz U.S.A! CHEEERS! WE MADE A HISTORY!

Anonymous said...

ACHENI UJINGA. KAMA WEWE UNA MATATIZO NA MTUU MFUATE MWAMBIE.MNABAKI KUTUKANANA KWENYE MA BLOG. YOU ALL NEED TO GROW UP.WORRY ABOUT THINGS THAT REALLY MATTER.DJ LUKE STOP PRINTING TRASHY COMMENTS.WATU WANAPENDA DRAMA.

Anonymous said...

Jamani kwanza ningependa kuwashukuru wanakamati woooote da Omby, da Queen, da Aunt Shou, da Emma na Mama winny Asanteni saana kwa kutupa fursa hii ya kuwa washiriki wa Miss Tz U.S.A! Tumeona mlivyokuwa mnahangaika na sisi kila kukicha kujua tunaendeleaje na kutupa moyo. Da Queen Asante saana kwa kutuandaa na kutupa moyo hatutasahau kauli yako ya mwisho ambayo inatupa moyo wa kumove on kwa mbwembwe ni pale ulipotuambia hotelini ya kwamba " UKISHAKUWA MSHIRIKI TAYARI WEWE NI MSHINDI MAANA HUWEZI KUWA MSHIRIKI KAMA HUNA VIGEZO VYA USHINDI" Asanteni saaana Wanakamati" WE LOVE YOU MWAAAAA!

Anonymous said...

Ila jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nilijua tu hii Event ingekuwa Inamvuto wa aina ya pekee maana hao wadada waliyoiandaa ni babu kubwaaaa bomba mbayaaa. Wana Majina makubwa hapa DMV.Najua wengine mtatukana lakini ukiangalia ukweli unaupata ndani ya moyo wako. Nawapenda wadada woote walioandaa tena sio tu kuwapenda nawatamani haswaaa Lol!