ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 12, 2014

HAPPY BDAY LIBAN

 Happy bday kaka yetu Liban aishiye Durham, NC. Vijimambo Teaminakuombea mungu akurehemu na miaka mingi ijayo na mafanikio mema.
 Uncle Sichele akiwapa vijana maneno mawili matatu ya usia, ushari na kadhalika.
 Kaka Liban akishukuru ndugu na jamaa walio hudhuria usiku huu.
 Aunty Ester akisikiliza dada zetu huku wakipata maakuli.
 Joshua Toto tundu na yeye akipiga misele yake LOL.
 Sis Magayo na yeye alikua na mawili ya kuongea katika mughafala huu.
Kempriva in da house akipata plate yake ya mahanjumati.
Njenje alim'babatiza huyu jamaa katika usiku huo, urefu wake ni futi 7 kamili, baada ya kumuhoji Feisal njenje akasema kuwa, Fikira zake za kuingia NBA halafu akumbane na jitu kama hili si bora amuwache apite tu.


No comments: