Ulla akiingia ukumbini kwenye sherehe yake ya kuhitimiu chuo iliyofanyika Germantown, Maryland siku ya Jumamosi Jan 11, 2014 na kuhudhuriwa na familia yake, jamaa na marafiki. Ulla amehitimu bachelor of science in Nursing katika chuo kikuu cha Trinity kilichopo Washington, DC na maafali ya chuo yalifanyika siku ya Jumanne Jan 7, 2014 Cathoric University. Sherehe hii ya kumpongeza amefanyiwa na marafiki wa karibu.
Jamaa na marafiki waliofika wakimpongeza Ulla
Ulla akitoa shukurani zake kwa mume wake wakiwemo watoto kwa ushirikiano waliompa wakati akiwa chuo pia aliwashukuru marafiki zake waliowezesha sherehe hizo zinanikiwe.
Juu na chini ni wakati wa kula keki
Juu na chini ni wakati wa chakula.
Mshereheshaji Tuma akiwa kazini
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
No comments:
Post a Comment