ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 19, 2014

CAMERA YA VIJIMAMBO INAKULETEA VIUNGA VYA "NYERERE SQUARE" MJINI DODOMA,HUJAFIKA HAPA,HUJAFIKA DODOMA

 
Sanamu ya Mwl.Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere.
 Mnara wa Sanamu ya Baba wa Taifa,Hayati Julius Kambarage Nyerere hapa Dodoma "Nyerere Square"
Sehemu Maalum za Kupumzika kwa mtu yeyote na ni Bure.
 Nyerere Square ni Eneo linalopatikana Katikati ya Mji wa Dodoma,Limezungushiwa uzio mzuri na kupandwa Garden Maalumu na Parking kwaajili ya Watu mbalimbali Kupumzika eneo hilo baada ya Mizunguko yao.Pia Eneo hilo kuna Sanamu maalumu ya Hayati Baba wa Taifa ndio ikapelekea Kuitwa Nyerere Square.
Hujafika Dodoma,Hujafika Nyerere Square.
PICHA NA CAMERA YA VIJIMAMBO NCHINI TANZANIA.

No comments: