ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 2, 2014

CCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 77%

Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo
 
Mahmoud Thabit Kombo mgombea kwenye uchaguzi mdogo kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi kwa asilimia 76.5 kwenye uchaguzi mdogo wa uwakilishi uliofanyika leo Jimbo la Kiembe Samaki.

Matokeo kamili ya Uchaguzi Mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Kiembe Samaki ni kama ifuatavyo
CCM 1856 sawa na aslimia 76.5
CUF 445 sawa na asilimi 18.3
ADC 84 sawa na asilimi 3.5
CHADEMA 34 sawa na asilimia1.4
Tadea 6 sawa na aslimia 02
SAU 1 sawa na asilimia 00

2 comments:

Anonymous said...

Ikiwa imebakia miezi kadhaaa kabla ya uchaguzi mkuu, I wonder km haya matokeo ni true reflection ya out come ya general election.

Anonymous said...

na mbona yametangazwa haraka kama si wizi wa kura ni nini.

na mahmmoud umezeeka jamani namna hii mkuu unanikumbuka arusha school