ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 20, 2014

Chadema yampinga Mgimwa

Mgombea wa Chadema katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Grace Tendega akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa juzi. Picha ya Bongo Leakst,

Iringa.Chama cha Demokrasia na Maendeeo (Chadema)kimemwekea Pingamizi Mgombeda wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia (CCM) Godfrey Mgimwa kuwa si raia wa Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za juu kusini Frank Mwaisumbe alisema kuwa wanamtilia shaka mgombea huyo kuwa si raia wa Tanzania.
Alisema pamoja na sababu hiyo pia wanatilia shaka wadhamini wa mgombea huyo waliomo katika fumo yake kuwa si wakazi na wapiga kura wa Jimb o la Kalenga.Iringa.Chama cha Demokrasia na Maendeeo (Chadema)kimemwekea Pingamizi Mgombeda wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia (CCM) Godfrey Mgimwa kuwa si raia wa Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za juu kusini Frank Mwaisumbe alisema kuwa wanamtilia shaka mgombea huyo kuwa si raia wa Tanzania.
Alisema pamoja na sababu hiyo pia wanatilia shaka wadhamini wa mgombea huyo waliomo katika fumo yake kuwa si wakazi na wapiga kura wa Jimb o la Kalenga.
“Ukiachilia mbali madai tuliyoyaoredha hapo juu poia lilo suala la uteuzi wa mgombea,katika fomu ya uteuzi iliyoandikwa kwenye fomu ya mgombea wa CCM sio sahihi, fomu hiyo imeandikwa tarehe ya uteuzi ni tarehe 16 badala ya tarehe 18 hivyo kakiuka sheria na taratibu za kiapo cha ujazaji fomu”alisema Mwaisumbe.
Katibu wa CCM,Mkoa wa Iringa Hassan Mtenga alithibitisha kuwekewa pingamizi kwa mgombea wake na kuongeza kuwa hiyo ni kutokana na uongo wa Chadema.
“Hao jamaa ni waongo,eti wamemwekea pingamizi mgombea wetu kuwa si raia wa Tanzania…mimi ninasema hao ni waongo kwani wlaitakiw akuleta ushahidi hadi sasa wameshindwa”alisema Mtenga.
Msimamizi wa chaguzi Jimbo la Kalenga Pudenciana Kisaka alithibitisha kuwapo kwa pingamizi hilo na kuongeza kuwa kwa sasa hawezi kulizungumza hadi hapo hatua mbalimbali za kisheria zitakapochukuliwa.
Kampeni hizo zilizotarajia kuanza jana tume ya uchaguzi imeteua majina matatu ya wagombea Ubunge ambao ni Richard Minja (Chausta)Godfrey Mgimwa (CCM) na Grace Tendega (Chadema) baada ya kukidhi matakwa ya isheria huku mgombe Erick Chelula kupitia NCCR Mageuzi akiondolewa katika kinyang’anyiro hicho BerdinaMajinge,Mwananchi

Kampeni hizo zilizotarajia kuanza jana tume ya uchaguzi imeteua majina matatu ya wagombea Ubunge ambao ni Richard Minja (Chausta)Godfrey Mgimwa (CCM) na Grace Tendega (Chadema) baada ya kukidhi matakwa ya isheria huku mgombe Erick Chelula kupitia NCCR Mageuzi akiondolewa katika kinyang’anyiro hicho
Mwananchi

No comments: