Habari ndiyo hii bila kupata alama kama hizo usoni hata mchumba uwezi kupata kwani unaonekana kuwa ujakamilika. |
Ukitaka uheshimike katika jamii ya kabila hili la Surma huko Ethiopia. |
Makabila yenye kujikwangua kama hivi yanapatika katika nchi za Ethiopia na kusini mwa Sudan.
Ukifikisha umri wa miaka 12 tu hii ndiyo sheria ya makabila hayo yanayojulikana kwa jina la Surma huko Ethiopia
Ufanyika sherehe maalum kabisa kwa kazi ya kutoana damu pasipo vipimo vya maumivu au mapigo ya moyo.
Mwiba wa polini na wembe ndiyo nyenso za kazi hiyo cha kujiuliza je watu wangapi wanatumia wembe huo?. Unatobolewa mwilini katika sehemu zilizo wekwa alama kama urembo na kudumisha mila vile vile.
Baada ya maumivu ya kukatwa haya ndiyo makovu yanavyoonekana mwilini na ndiyo alama zinazo kufanya uonekane umesha kamilika. |
Organic ya Kiethiopia hiyo full maringo na michoro yake mwilini. |
Hii njemba hipo kamili hapa ukisogea tu mshale wa kiuno
Huyo ni kutoka kaskazini mwa Ethiopia kabila ya Afar full unywele, ni tofauti na hiyo njemba ya juu yenye kipilipili lakini wote ni wa Ethiopia.
Kabila la Afar wangavu na michoro yao uzunguka macho kama unavyoona na meno wanachonga.
Hapa ni wote wa Ethiopia lakini kutoka pande tofauti hii njemba ya rangi ya blue ni kutoka kaskazini mwa Ethiopia kabila la Mursi. Na mwanamke ni wa kabila la Karrayyu, Kwaiyo wa Ethiopia wanaoishi upande za kaskazini wanakuwa weusi tiii karibia na rangi ya blue sawa na Wasudan wa pande za South.
Njemba hizi ni pande ya South Sudan kabila la Toposa, Njemba hizi za kabila hili ni hatari sana kwani wakichukia upandisha mzuka unaowafanya hata kubadirika rangi na kuwa wa blue kwani muda wote wanatafuna ugoro unaowaongezea nguvu.
1 comment:
I was told by an African historian that these tribal markings/decorations were used long ago to identify each other during wars. You look on the face of the person and you can tell their clan, how many wars they fought and whether they are from a chiefdom clan. Women will be idenfified as whether they are ready for marriage or to which clan they belong to. We do not need these now, as the wars are blind. they do not pick and choose, clans women or children.
Post a Comment