ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 17, 2014

KUFA KUFAANA HUO NDIYO MWENENDO WA SERIKALI YA TANZANIA

Elimu ndiyo chachu ya maendeleo, walimu wakilipwa laki 2 kwa mwezi lakini posho za wabunge teule la katiba laki 3 kwa siku. 
Elimu ndiyo inayomwezesha mtu kujitambua na kujimiliki yeye mwenyewe kwanza.

1 comment:

Anonymous said...

Hii ndio Tanzania bana, wabunge wanalipwa daily sitting allowance ya Tsh.300,000 wakati 25%wanaingia bungeni kusinzia,5%kupigana,45%kutengeneza deal