ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 3, 2014

MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA

Vijana waungana katika kampeni, ugonjwa wa saratani

Jumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea nchi maskini ambako tiba ni changamoto,. Halikadhalika mfumo wa maisha unadaiwa kuwa mojawapo ya sababu za kuenea zaidi kwa ugonjwa huo. Assumpta Massoi katika makala hii ameangaziaTanzania, moja ya nchi zinazoendelea.

(Assumpta PKG)

Kusikiliza bonyeza hapa

1 comment:

Anonymous said...

Aina gani ya saratani na kinyume na maumbile? Mbona wataalamu mnakurupuka?