BORA KUFIKA
MSEMO WA KUFA KUFAANA ULITIMIA,BODABODA WALIKULA VICHWA KWA BEI WATAKAZO
MKUU
WA (W) NYAMAGANA BARAKA KONISAGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI,
MDA MFUPI BAADA YA KUKUTANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI,
MADEREVA, NA WADAU WOTE WA USAFIRISHAKI JUU YA MGOMO WA DALADALA JIJINI
MWANZA.
ZAIDI
KIKAO KIMETOA WITO KWA MADEREVA KUSITISHA MGOMO MARA MOJA, AMBAPO
AMESEMA KUWA AMEWAAGIZA WAHUSIKA WA JAMBO HILI KUFUATILIA SUALA HILI
MARA MOJA IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA NINI MALALAMIKO YA MADEREVA ILI
YASHUGHULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYO
No comments:
Post a Comment