ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 17, 2014

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA wAZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

Polisi mkoani Iringa wakiwa wamezuia msafara wa mgombea 
ubunge jimbo la Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai hawakuwa na kibali cha kufanya maandamano hayo ya magari hapa ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita 
Hapa polisi wakimtazama mgombea huyo akipita mbele yao.

PICHA NA FRANCIS GODWIN

2 comments:

Anonymous said...

HII CHAMA NI VURUGU TUPU...MKIANZA KWA KUVUNJA SHERIA NDOGONDOGO KAMA KUTOOOMBA KIBALI CHA KUFANYA MAANDAMANO,VIPI MKIINGIA MADARAKANI?

Anonymous said...

Kibali wanaomba lakini wananyiwa au unazuiawa tu. Sasa wakizuia watasema kwa nini? Si lazima waseme kibali au vurugu. Watanzania mulio nje na wasomi amkeni. Miaka ya kufuata bendera imepitwa na wakati. Nchi haina haki wala sheria mabadiliko ya fikra na ujasiri yanahitaji. Kuukubali upinzani wa kisiasa ni njia muhimu ya kimaendeleo. Amkeni.