Wide receiver Golden Tate #81 wa Seattle Seahawks akimiliki mpira mbele wachezaji Denver kwenye mechi ya Super Bowl XLVIII iliyochezewa katika uwanja wa MetLife siku ya Jumapili February 2, 2014 mjini East Rutherford jimbo la New Jersey.
Quarterback Peyton Manning #18 wa Denver Broncos akiaangalia mpira aliorusha kwenye robo ya kwanza ya mchezo wtimu yake ilipocheza na Seattle kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa katika uwanja wa MetLife siku ya Jumapili February 2, 2014 mjini wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Running back Knowshon Moreno #27 wa Denver Broncos akijaribu kuumiliki mpira mwisho wa uwanja wakati timu yake alipocheza na Seattle Seahawks kwenye robo ya kipindi kwenye Super Bowl XLVIII liyochezewa katika uwanja wa MetLife siku ya Jumapili February 2, 2014 mjini wa East Rutherford jimbo la New Jersey
Running back Knowshon Moreno #27wa Denver Broncosakiukimbilia mpira mwisho wa uwanja wakati timu yake ilipocheza na Seattle Seahawks kwenye Super Bowl XLVIII liyochezewa katika uwanja wa MetLife siku ya Jumapili February 2, 2014 mjini wa East Rutherford jimbo la New Jersey
Wide receiver Percy Harvin #11 wa Seattle Seahawks akikimbia na mpira huku akizongwa na mchezaji Duke Ihenacho #33 wa Denver Broncos kwenye robo ya kwanza ya mchezo wa Super Bowl XLVIII liyochezewa katika uwanja wa MetLife siku ya Jumapili February 2, 2014 mjini wa East Rutherford jimbo la New Jersey
picha zote kwa hisani ya Zimbio
No comments:
Post a Comment