ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 1, 2014

SIMBA NA JKT ORJORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO,SIMBA YASHINDA BAO 4-0

 Haruna Chanongo (shoto), akiwania mpira na beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
 Chanongo akimtoka beki wa Oljoro JKT.
 Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
 Wachezaji wa Oljoro JKT wakitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Simba.
 Ramadhan Singano 'Mess' akimtoka beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Mashabiki wa Simba.
 Amis tabwe akitafuta mbinu za kumtoka, Nurdin Mohamed
 Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akiangalia ukiingia ndani ya nyavu.
 Amis Tambwe akishangilia moja ya mabao aliyoifungia timu yake leo, ambapo alifunga mabao 3.
 Leo tumewashika!!!!!!!
 Wachezaji wa Oljoro JKT wakipata maji.
 Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe.
 Ramadhan Singano akichuana na Aziz Yusuf. 
Aziz Yusuf akimiliki mpira huku aAmis Tambwe akijaribu kuleta rabsha.
(Picha zaote kwa hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog)

No comments: