Binti aliyejitambulisha kwa jina la Nasra akiwa na Mr. Uwazi.
Msomaji wa Uwazi, aliyejitambulisha kwa jina la Joel, akipokea zawadi ya sabuni baada ya kukutwa akisoma gazeti la Uwazi.
‘Crew’ ya Uwazi iliwanasa kuku hawa wa kienyeji kwenye soko moja huko Gongo la Mboto jijini Dar, wakati wa ugawaji wa zawadi.
Mr. Uwazi ‘akimwaga’ zawadi.
GAZETI la Uwazi leo liligawa zawadi kedekede kama njugu kwa wasomaji waliokutwa wakinunua gazeti hilo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar. Tukio hilo ni moja ya harakati za kuhakikisha gazeti hilo, mojawapo ya magazeti pendwa ya kampuni ya Global Publishers, linawafikia wasomaji wake sehemu zote waliko nchini.
(Habari/ Picha: Brighton Masalu /GPL)
1 comment:
Kwa joto la bongo mbona miki mausi mutamuuwa!!!!!
Post a Comment