Wadada wakiwa na mabirthday Girls wakijiandaa kuingia ndani ya kiota pendwa mbaya cha burudani cha Safari Night Club kilichopo Washington, DC.
Kenyatta akiwa na mama mwenye nyumba wake wakiwa ndani ya kiota Pendwa mbaya cha Burudani cha Safari Night Club walipojumuika kwenye tafrija ya kula keki ya miaka 4 ya Vijimambo.
, Rehema akipata keki kuwawakilisha wadau wote wa Vijimambo kote Duniani kwenye tafrija ya kula Keki ya Blog ya Vijimambo iliyotimiza miaka 4 ya Libeneke January 31, 2014.
Beatrice akipata keki kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya kioata cha burudani cha Safari Night Club.
Lydia akipata keki kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwenye kiota cha burudani cha Safari Night Club usiku wa Jumamosi Feb 1, 2014.
Wadau wa Vijimambo wakipata picha ya pamoja walipojumuika kwenye tafrija ya kula keki ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo.
Wadau wa Vijimambo wakiwa pamoja na mzee wa kunyoosha Benja wa Kijiwe cha Ughaibuni (wapili toka kulia)) wengini toka kushoto ni Kenyatta, Halfan na Jabir.
Wadau wa Vijimambo katika picha ya pamoja
Wadada wakijumuika pamoja kwenye kiota pendwa mbaya cha Safari Night Club kilichopo Washington, DC.
Wadau wakiwakilisha ndani ya kiota pendwa mbaya cha Safari Night Club hapa wakiwa katika pozi.
Wazee wa Kijiwe cha Ughaibuni katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliofika kwenye tafrija ya kula keki ya miaka 4 ya Vijimambo.
Wadau wakila hepi ndani ya kiota pendwa mbaya cha Safari Night Club.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
1 comment:
Kenyata oyeeeeeeeeeeee yupo na mama wanguvu..Duh! kweli kenyata mwisho wa mchezo.
Post a Comment