Maisha ya furaha yanakuja tu pale unavyoweza kufanya kitu kitakachokufanya wewe kusikia furaha moyoni. Usishangae mdada huyu kuamishia mapenzi yake kwa mnyama huyu kuliko hata kuwa na mume ndani ya nyumba. Kuwa na mume au mke ndani ya nyumba wengi wetu tunaamini ndiyo furaha, lakini kwa mdada huyu ni tofauti kwake. |
No comments:
Post a Comment