Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na viongonzi mbalimbali wa Serikali pamoja na mwakilishi wa Wadau
wa Maendeleo nchini Bw. Richard Martini (kulia kwake) baada ya kumaliza
hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano
(TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali
iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
ANGALIA LIVE NEWS
Saturday, March 22, 2014
BAADHI YA WIZARA, IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZAPEWA VIFAA VYA TEKNOLOJIA, HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA) PICHA ZA KUKABIDHI VIFAA 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment