
Eleanora John Mama mtoto
Ndugu nimechanganyikiwa sijui kilio changu nimpelekee nani anisaidie kwani ni mda huu napata taarifa mwanangu amepata ajali ya basi akielekea Tabora kwenye Graduation yake,,nikiwa naendelea kujua hali yake na ni hospitali gani aliyoko nesi anamnyang'anya simu najaribu kumpigia angalau nesi anipe taarifa hapokei simu hiyo. Naomba kama kuna ajuae Isizu na kama ni hospitali gani zilizoko mahali hapo pia kama vyombo vya habari vinaweza kunisaidia kupata mawasiliano.namba ya simu yangu ni +1978 939 9406.
No comments:
Post a Comment