ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

MVUA ZILIZONYESHA DAR ZALETA KIZAZAA



Mvua zinazoendelea kunyesha Dar zinaendelea kuleta usumbufu mkubwa kwa wakazi wa jiji hilo kwa maji kujaa kwa sababu ya kutokua na miundo mbinu madhubuti na mifereji ya kutolea maji hayo kuziba kutokana na taka zinazotupwa kwenye mifereji hiyo.


Habari Kwanza Media

4 comments:

Anonymous said...

Ama kweli, tunategemea nini wakati tunajenga mabarabara, kuanzisha makazi ya watu bila ya kuweka mitaro ya maji.hayo majengo mazuri yanayo ota kila sk kama uyoga hayana maana kama hali ndiyo hii.imagine unaweka investment ya mabilioni ili itumike kiangazi tu.

Anonymous said...

Miundo mbinu ! oobongo imeendelea.where is the basic infracstructure?

Anonymous said...

du kweli bado tuko nyuma sana.

Anonymous said...

Hali yote hii inachangiwa na uongozi mbovu wataalamu wanamaliza chuo kikuu kila mwaka mmewapa nini kurekebisha hali hii na kwa kuwalipa mishahara ya kufaa. Karne hii sio ya kuwa na jiji kama hili lenye miundo mbinu mibovu. Haya ni Majanga tu.