Watu wa Namibia na Botswana udamaduni wa mavazi yao ndiyo huu na maisha yao ni jangwani. Nilivyofika Marekani mwanzo nilikuwa nachukia sana kutokana na maswali niliyokuwa nakumbana nayo siku hadi siku kutoka kwa wazungu na hata Wamarekani weusi pale unavyowaambia kuwa umetoka Africa. Kwani wanaamini kuwa Africa watu awavai nguo na nyumba za kulala ni shida usiku na mchana ni kupishana na wanyama wapolini tu.
Maisha yao ni jangwani tu watoto wazazi wote vazi la utamaduni
Modal huyo full organic
Jamaa akiwa na siraha yake hapo hata kama swala akiwa umbali wa km 2 hapinduwi
Msela na tunda lake
Full oganic live bila chenga
No comments:
Post a Comment