ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA YANAYOTOKEA KWENYE MTANDAO

taarifa fupi ya hatua mbali mbali zanazo chukuliwa na wolfpack information risk  - Kampuni inayo jihusisha na maswala ya ulinzi wa mtandao wakishirikiana na kikundi kinachojiusisha na maswala ya ulizi wa mtandao katika nchi za africa - ISG -Africa (Information Security Group)ambapo mimi ni mwanachama wa kudumu.

No comments: