KWETU Fashion ya Missy T imekuja na vivazi vikali vya 2014 design mbalimbali kutoka kwa mbunifu Missy Temeke mwenye makaazi yake DMV.
Mlimbwende akiwa ametinga kivazi cha KWETU Fashion kilichobuniwa na Missy Temeke mwenye maskani yake DMV.
Juu na chini ni mlimbwende akiwa ametinga kivazi cha KWETU Fashion kilichobuniwa na mwanadada anayekuja juu na kukimbiza sasa hivi DMV, Missy Temeke
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
No comments:
Post a Comment