'MIMI SERIKALI TATU MMHH SIELEWI' CELEBRITY WETU JOKATE KIDOTI ATOA YAKE YA MOYONI EBU TIRIRIKA NAE HAPO CHINI
4 comments:
Anonymous
said...
Nakubaliana nawe Jokate. Serikali tatu mzigo.Tatizo hili haliepukiki. WaZanzibari wanataka nchi yao na sie huku bara tungependa serikali yetu. Basi ziwe tatu ila efficient and non-political labda kama watasema kila serikali (Tanganyika na Zanzibar ) iwe na wizara kumi na mbili tu zingine zivunjwe. halafu ya ile ya Muungano iwe na wizara 3 Ulinzi, Mambo ya Nje na Wizara ya katiba na Sheria za Muungano. Hizo kumi muhumu ni 1. Fedha 2. Sheria 3. Elimu 4.Ardhi 5. Maji 6. Maliasili na Utalii 7. Afrika Mashariki 8.Biashara 9. Kazi na ajira 10. Miundombinu 11. Ustawi na Maendeleo ya Jamii (mambo ya wanawake, watoto na Michezo yawekwe hapa) na 12. Afya. Hivyo basi kutakuwa na mawaziri 24 (ambao wasiwe Wabunge ila ni professionals wenye ujuzi na uelewa wa kuongoza na taaluma. Jumla serikali zote ziwa na mawaziri chini ya 30. Mambo yote ya Muungano yaongozwe na wizara hizo tatu za muungano. Na nchi hizi mbili zichangie bajeti kwa uwiano wa idadi ya watu wao. Kwisha kazi mwanawane! Uwaziri uwe ni kazi inatangazwa qualifications zinawekwa na jopo la wataalamu kutoka vyuo vikuu na mashirika tofauti vinafanya selection na interviews.
The mdudu,ww dada tafadhari shika adabu yako,usione kwakua ww unamaisha mazuri ndio usione umuhimu wa serikali 3 ni bora twende huko unakokuona kubaya ili wote tukose au wote tuishi kwenye kasheshe kulikoni nyie wachache mfaidi maisha huku wimbi la watanzania wakifa kwa njaa hivi ww na mawazo yako mgando utaweza kujifananisha na watu kama LIPUMBA AU MBOWE so kaa pembeni na mawazo yako MGANDO na huna lolote unalolijua zaidi ya toa BAR WEKA BAR na ushindwe ww na maisha yako ya kuunga unga
Everyone is entitled to their opinion, but that don't make their opinion to be true or right. Perfect union itapatikana pale ambapo kila upande wa muungano utajiendesha yenyewe. Kwa maana kuwa iwe na maamuzi ya ndani yanayohusu maendeleo ya watu. Then tuwe na federal government ambayo itakuwa superior yaani above hizo serikali za pande mbili. Kuhusu mapato ya ni simple, ianzishwe federal tax ambayo itakuwa asilimia Fulani ktk mapato ya nchi hizi mbili, simaanishi ongezeko kwenye tax bali mgawanyo wa asilimia ktk kila kodi iende kwenye federal government. Kwa njia hii nchi wanachama wataweza kujiendesha wenyewe na federal government itajiendesha bila kusubiri michango. That's my opinion!
Itakuwa bora muungano uvunjwe na tuwe na nchi mbili. Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Kama majina ni utata basi moja iitwe Tanganyika na nyingine iwe Zanzibar. Hii ndo njia pekee ya kulitatua suala zima la katiba. Tuishi nao Wazanzibar kama jirani zetu wengine tunaopakana mipaka. Wao wajitegemee, nasi bara tuwe na serikali yetu. Everything else we are trying, frankly speaking will be politically chaotic, economically unavailing and expensive, and significantly important, very dangerous in a long run. In my opinion, we have to silence and prevent fundamentalists and conservatives on both shores from implementing their ill-conceived propaganda which may lead us to bloody war never experienced before.
4 comments:
Nakubaliana nawe Jokate. Serikali tatu mzigo.Tatizo hili haliepukiki. WaZanzibari wanataka nchi yao na sie huku bara tungependa serikali yetu. Basi ziwe tatu ila efficient and non-political labda kama watasema kila serikali (Tanganyika na Zanzibar ) iwe na wizara kumi na mbili tu zingine zivunjwe. halafu ya ile ya Muungano iwe na wizara 3 Ulinzi, Mambo ya Nje na Wizara ya katiba na Sheria za Muungano.
Hizo kumi muhumu ni 1. Fedha 2. Sheria 3. Elimu 4.Ardhi 5. Maji 6. Maliasili na Utalii 7. Afrika Mashariki 8.Biashara 9. Kazi na ajira 10. Miundombinu 11. Ustawi na Maendeleo ya Jamii (mambo ya wanawake, watoto na Michezo yawekwe hapa) na 12. Afya. Hivyo basi kutakuwa na mawaziri 24 (ambao wasiwe Wabunge ila ni professionals wenye ujuzi na uelewa wa kuongoza na taaluma. Jumla serikali zote ziwa na mawaziri chini ya 30. Mambo yote ya Muungano yaongozwe na wizara hizo tatu za muungano. Na nchi hizi mbili zichangie bajeti kwa uwiano wa idadi ya watu wao. Kwisha kazi mwanawane! Uwaziri uwe ni kazi inatangazwa qualifications zinawekwa na jopo la wataalamu kutoka vyuo vikuu na mashirika tofauti vinafanya selection na interviews.

Post a Comment