ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MAHESABU YA SERIKALI IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za
Serikali Bw. Ludovick Utouh baada ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza muhtasari toka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za
Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo

PICHA NA IKULU

No comments: