ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

UCHAGUZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI CBE MWANZA 2014

Wagombea uchaguzi wa Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo cha Biashara CBE Mwanza Dismas Vedatus na Projestus K. Herman katika  bango. 

Huu ni msafara wa mmoja kati ya wagombea uchaguzi wa Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo cha Biashara CBE Mwanza. 

No comments: