ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 5, 2014

TUKIO LA KUSIKITISHA: WATOTO WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI

Huu ndio mti uliosababisha vifo vya watoto wawili


Mmoja wa shuhuda akizungumzia kuhusu tukio hilo ambapo watoto wawili walifariki na mmoja kujeruhiwa na mti huo
Kiongozi akizungumzia swala hilo na kusisitiza wazazi wawachunge watoto wao wasiwe wanacheza maeneo hayo ya miti
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia tukio zima la watoto hao waliofariki kwa kuangukiwa na mti
Hapa ilikuwa ni wakati wa kuwaokoa watoto hao

Picha zote na Tanga yetu Blog

2 comments:

Anonymous said...

mmm!jamani inasikitisha sana...Mungu ajalie roho zao punziko la milele na pole sana kwa wazazi na ndugu.

ak said...

Mungu awapokee malaika hawa