
JUSTINE TAKULE,DIANA TERRY NA FAMILIA ZAO ZA PANDE ZOTE MBILI, KWA PAMOJA WANAWASHUKURU SANA SANA WATU WOTE WALIOJITOLEA KWA MOYO KATIKA KUFANIKISHA SHEREHE YAO YA BABY SHOWER, ILIYOFANYIKA 3621 CAMPUS WAY,
COLLEGE PARK, MARYLAND.
SHUGHULI NI WATU, NA WATU NI NINYI.
MUNGU AWABARIKI SANA.
JUSTINE NA DIANA.
No comments:
Post a Comment