Ndugu Waumini Wakatoliki na Watanzania wote,
Tunasikitika kuwatangazia kuwa ndugu Yetu Bwana Peter Majura na Mke wake Jenne Beph wamefiwa na mtoto wao Mchanga. Mazishi yalikuwa Ijumaa Aprili 11,2014. Misa Takatifu ilifanyika katika Parokia ya "Our Lady Queen of Peace" 2700 South 19th Street, Arlington, VA 22204. Misa itaanza saa 4 kamili Asubuhi. Msiba uko nyumbani kwa Bwana na Bi Majura, 4414 N. Carlin Springs Rd. Arlington, VA 22204. Bwana Peter Majura anapatikana kwa Simu # 1-859-221-0857
Tuwe nao kipindi hiki kugumu na kuwa faraja na kitulizo kwa namna yoyote tunayoweza.
Wenu Padri Evod Shao
No comments:
Post a Comment