Wema na Diamond |
STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo
vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la
mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho
ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki
Diamond.
1 comment:
mbona ulipindua na kumzarau na wanawake tena mashoga zake?
tupisha hapa na miyayusho yako ya ki manzese
Post a Comment