Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.
"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa chadema kwa kunisaidia,"alisema Mgaya.
Mgaya amesema ameumia mikononi wakati nikipangua nakujitetea mvamizi alikuwa na panga. Mbali na yeye pia amesema pia kiongozi wa Chadema, Mwita Waitara naealijeruhiwa kwakuwa alikuwa moja ya watu waliokuwa wakimsaidia.
Father Kidevu Blog


1 comment:
mtateseka na mpaka kupoteza uhai wenu kwa kuiweka ccm madarakani oneni sasa picha hii ni ccm hawa waliofanya hivi halafu sasa hivi tanzania ccm kimekuwa chama cha kifalme akiondoka baba anakuja mwana akiondoka mwana anakuja mjukuu.
le mutuz where are you? uwe raisi na wewe bwana
Post a Comment