Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo hayo.
Mhe. Bernard Membe akiongelea swala la Raia pacha kulia ni naibu spika Job Ndungai akifuatilia mazangumuzo hayo.
Kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Rasi Idd Sandaly na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakifuatilia mazaungumuzo
Kikao kikiendelea kwa picha zaidi bofya soma zaidi na picha zaidi baadae
5 comments:
Hongera sana Mh Membe. You made a very good case for diasporans and you you showed Mr Ndungai that he is still a child when it comes to Tanzanians in diaspora.
Mheshimiwa Waziri wetu, ni Membe is really informed and experienced diplomat kwenye mambo ya kimataifa maana utetezi wake kwa wanadiaspora ulijionyesha wazi! TUTAFIKA TUUU. Jamani changieni mfuko tukalobby kazi ni KUBWA KWELI HUKO BONGO WATU HAWAELEWI. We need to prepare ourselves kwa midahalo, kutoa makaratasi yenye maelezo muhimu kwa nini ni muhimu kuruhusu uraia pacha!! hii vita ni kubwa si ndogo kama tunavyodhania ndiyo ushauri uliotolewa.
Asante sana Mh. Membe. Tunaomba serikali yetu itupe nafasi ione umuhimu wetu. Tuna uchungu sana na nchi yetu, we need the change and we are the change!
Mungu ibariki Tanzania.
Asante sana Mheshimiwa Membe, I am one of the diasporians who never believed that we are serious in getting this issue sorted like many other countries. But, you have now made me feel so proud of being Tanzanian you have provided good, convincing and insightful arguments. You may need to look at the Aussie and Kiwi diasporians as well please. we have been somehow forgotten.
Asante sana
Im not proud of anything.work up people
Post a Comment