ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 13, 2014

MOROGORO NAPO HALI YA MAFURIKO ILIKUWA HIVI JANA



Hapa ni Morogoro maneneo ya Mafisa. Yaani hii kitu si mchezo jamani ni janga la taifa zima. Tuungunae kwa pamoja kuwaombea na kuwasaidia pale tunapo weza ndugu zetu waliathirika na mvua hizi. Mungu awafanyie wepesi na poleni sana

No comments: