ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 14, 2014

WADAU WAPATA DINNER YA MCHANA KIJIJI CHA SWAHILI BELTSVILLE, MARYLAND

 Kutoka kushoto ni Benja Mwaipaja, Fred Wanjala, Nicodemus Ikonko, Issa Michuzi na Adam Gile wakipata dinner ya mchana mgahawa wa kijiji cha Swahili uliopo Beltsville, Maryland siku ya Ijumaa April 11, 2014 walipokuwa wamekwenda kukutana na Benja Mwaipaja kwa maongezi ya kawaida.
 Muhudumu wa Kijiji cha Swahili akitoa huduma kwa wateja wake waliokuwa wakipata dinner ya mchana.
 Ukodak moment kutoka kushoto ni Adam Gile, Issa Michuzi, Nicodemus Ikonko, Benja Mwaipaja na Fred Mwanjala.
Benja Mwaipata (mwenye miwani) akiwa amezungukwa na kijiji huku wakimsikiliza porojo zake.

No comments: