? Mbwa wa Dr Florence Temba akiwa mikononi mwa baba yake baada ya kufa kutokana na kuteleza kwenye ngazi na kuangukia kichwa kisha kukata roho papo hapo. Mbwa wa Dr Florence hakuna asiye mjua kwa yeyote aliewahi kufika nyumbani kwa Dr Temba hakukosa kumuona mbwa huyu. Kitu kilichosababisha mbwa huyu kufa ni kuanguka akikimbilia chakula anachokipenda ambacho ni Cheese. Alikimbia kwenye ngazi za kushuka chini kwa furaha na bila uangalifu na kujikuta akiteleza kutoka gorofani hadi chini na papo hapo umauti kumkuta.
Dr Florence na majonzi tele baada ya kufiwa na mbwa wake aliempenda sana na kumfanya ni mmoja ya ndani ya familia yake.
Hapa ni watoto wa Dr Florence akiwa na marehemu mkononi wakimfariji mama yao kutokana na kufiwa na mbwa wake aliekuwa amempa jina la chi chi.
25 comments:
Poleni sana wafiwa..hivi huyu ni mbwa wa dr temba wa t.e.s?? The engineer mr temba. Anyways poleni sana
Hahaha this is too much.. Harambee lini..? Je watazika Hapa au tz? Je wanayo nccf au.. Tunaomba maelezo na address ya wafiwa tukawape mkono wa pole.
watasha watakuja kukupa pole mama kwa kufiwa mbwa wako achene misipa hiyooo
umeelimika kiwango cha udaktari bado unaiga utamaduni wa kijinga kama huu wa kigeni.
MHH NAPITA TU.
Poleni sana tunaomba kujua Kama mnasafirisha au mnazika hapahapa
Is this a joke?
Hii ni Kali... Naona tunakuwa watasha nakuacha culture yetu. Naelewa kuna bond kati ya Dr na chi chi. Lakini haitakiwi I we kwenye blog
Huyu yamkini ana Westadi!! Tafadhali tufahamishe lini kuaga mwili!!
Mzee temba TES MMMHHH! Poleni
Dr. Temba ni mwana jamii mzuri sana huwa hakoni kwenye shida na raha Washingto DC. Jamani wana DMV tunamsaidiaje? Siyo lazima aombe msaada. Viongozi mko wapi jamaniiiiiiiii?
Mnajuwa kufiwa nyie watu? Ebu acheni. Tuungane pamoja na familia ya Mr. Temba kwenye kipindi hiki kigume.
Na apumzike, apumzike!!!
jamani poleni wafiwa sasa Dr hii ni uwongo au ni ukweli jamani tuige vitu vya maana mama huna hata jamaa nyumbani wa kuwasaidia maisha yalivyo magumu Dr wakati wako ulisoma shule za buree haya dada pole na msiba
DJ . LK, inabidi sasa mambo mengine uwe unaachilia mbali hata kama umelipwa this is kind of joke and seems respect to HB is out!! Pole Dr,
Hahaahahahhahahahahahaha mbavu zangu jamani........mweeee
MMMMhh mchaga mie….. aibu jamani aibuuuu!!
Mbwa ni "pets" kama wamavyoitwa hapa Marekani. Sisi wengine tunao samaki kama "pets" lakini hatuwezi kutangaza kufa kwa samaki kwenye blogs. Acheni huu upuuzi wa kuwa westernized so much mpaka mnapata kichaa na kupoteza akili!DJ usizime hii...I am very opiniated when it comes to insanity!
I am really surprised by the out of control insensitivity of some people leaving comments in this blog. If you want to act Tanzanian, go back...you do not belong in USA!!! Dr. Florence Temba is a lovely and kind Haitian lady married to our own Dr. Temba (the engineer). Chi chi was a lovely dog and a big part of this family and friends of this family. We pray for Temba family for strength and hope during this very tough time. Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
By good friend of Temba family
Hivi mnajua connection waliyokuwa nayo hawa. Em mm. mmuwache
Ooooh kumbe si Mbongo!! PLEASE LET US RESPECT OTHERS CULTURE, UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE. Its not our culture ilibidi baba watoto atoe elimu kidogo kuhusu mila na desturi za Kitanzania kuwa as much as we love wnayama wetu either ni pet au ng'ombe au kuku au mbuzi wanapokufa ndiyo familia inapata masikitiko na kushare na wanandugu au majirani kama mnyama alikuwa anatoa chakula (maziwa au mayai) na mlinzi kama mbwa maana HATUNAGA 'PETS', KILA MNYAMA ANALALA NJE KWENYE NYUMBA ZAO! SO ITS ABOUT KUELIMISHANA ILI JAMII ISIKUONE NI MTU WA AJABU. Tumpe pole then tumelimishe ili paka au samaki akija kufa siku nyingine asijeweka kwenye blogs. Let us be polite huyu si MTANZANIA WAJAMENI. INGEKUWA NI MTANZANIA NA SIDHANI KAMA KUNA HATA MMOJA ATATHUBUTU KUTOA TANGAZO LA KIFO LA MNYAMA SABABU MILA ZETU NI SOOOO STRONG
Under influence ????
Hata Wazungu wenyewe hawaendi mbali hivi !
Dr Miriam ? Really !
Wote , not offending anyone ! You guys need Evaluation !!!!!
Mzee Dr Temba!! Unajua kabisa kule kwetu uchagani ulichofanya ni uchuro! Tena mndu wa rika lafo ni balaa! Uichi kula kanyi , ni msai kapsaa ! Mama Temba hata Kama si Mwafrica, Haiti twakujua sana, huo ujinga huko hakuna! Hebu tuondoleeni laana na Mzee Temba hiyo mafanikio yako saidia kijijini Kwenu wajukuu na Mungu atakuweka pazuri siku za usoni !
Mmekuja nchi watu wazima, na Shida kibao Leo hii ati mna emotion za Kizungu kilichopitiliza!
jamani kutembea kuona mengi mbwa amekufa ni huzuni na ni myanma anastahili kupendwa na hata akifa unaweza kufa kutokana na mapenzi yake kwa mbwa paka au mnyama yoyote yule
tanzania mmezoea kutesa wanyama mnakula nyama mnawapa mifupa paka mnapiga wanyama na kuwatesa wanayama wanahitaji upendo kama binaadamu tunavyo hitaji upendo
mwacheni mama wa watu alie hamjui anamapenzi gani na kumzoea mbwa wake kiasi gani
kuweka katika blog imeweka tu ila sio kivile jamani acheni ujinga
vijimambo addict
Dear Miriam Abu...not to offend you but, you have no right to say who should go or stay in the USA simply because one has expressed opinions contrary to your expectations! Your friendship with the Tembas (Tanzanian or Haitian), is not an issue. Unfortunately, the posting in the blog (which is predominately visited by Tanzanians), has drawn fierce reactions because it is quite odd and uncommon in Tanzanian culture to post Animal/Pets obituaries.(I am sure Temba knows well the nonexistence of dogs obituary in Chagga tribe!). I don't know much about your tribe ndugu Miriam! Living in America (USA) is not a ticket to sacrifice one's own culture or belief. As a melting pot, the USA does not have a single culture or belief. For instance, Chinese-Americans have certain values and beliefs different from those of Anglo-Americans; etc..etc. Would you tell these immigrants (America is the land of immigrants) that, they don't belong to the USA merely because they disagree with your values/beliefs? With all due respect Miriam, you are a bit naive!
wa haiti ni watu weusi kama sisi watanzania na wala hawana hizi habari za kijidai dai si mliona wenyewe mafuriko yalivyotokea hata anthony bourdain kwenye dvd yake ya no reservation aya food travel alikwenda huko kwao Haiti kutaka kujua chakula gani wanachokula na kukipiga basi akaona hakina hata ladha wala utamu hata hajatangaza nchi hiyo kwa vile iko kama kwetu tanzania na ni kheir ya tanzanai so msitulete hapa UZUSHI WENU, eti ni Muhaiti huyu ndo maana anamlilia paka mbona hajawalilia ndugu zake walipopata maafaa
kumbe Dr TEMBA ANA MHAITI SIJAJUA BORA TUNAJISOMEA HUMU HUMU VIJIMAMBONA KUELIMIKA.
POLENI SANA KWA KUFIWA NA PAKA WACHENI WABONGO HAWA WAJINGA WAJINGA PAKA AU KINYAMA CHOCHOTE UNACHOKIFUGA UKIWA UKIISHI NACHO KWA MUDA ANAKUWA KAMA MWANA FAMILIA SO MNAHAKI YA KUMLILIA POLENI SANA JE AMESHAZIKWA?
Post a Comment