Salima Moshi akifurahia jambo na aliyekuwa makamowa kwanza waRais Marehemu DR Omar Ali Juma Mama Salima Ali Juma na mmoja wa wageni mjini Arusha
Salima Moshi Akimuongoza Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAMA CHA MAPINDUZI Marehemu Horace Kolimba kuingia ukumbini kuangalia maonyesho ya sanaa ambayo yeye alimualika Sasa hivi Mama Salima Moshi ni Katibu Mwenezi wa CHAMA CHA MAPINDUZI Tawi la Washngton DC Virginia na Maryland
No comments:
Post a Comment