ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe 
Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014 Picha na Ikulu

No comments: