Happiness Samweli ndiye Redd's Miss Kilimanjaro 2014.
Hivi ndivyo warembo waliokuwa wakiwania
taji la Redd's Miss Kilimanjaro 2014 walivyoanza kuingia jukwaani kwa
mwendo wa kizalendo huku wakisindikizwa na wimbo wa taifa.
Baada ya wimbo wa taifa walimbwende walianza kutoa burudani.
Warembo wakiwa katika vazi la ubunifu.
Warembo wakiwa katika vazi la ufukweni.
Baada ya warembo wa Redd's Miss
Kilimanjaro 2014 kuchujwa walibakia warembo watano tu ambao ni Nadia
Samweli (9), Neema Leam (11), Nancy Ally(1), Happiness Samweli (2) na
Eliupendo Zacharia (7).
Wakati wa kuwauliza maswali walimbwende waliofanikiwa kuingia tano bora ukafika.
Hawa ndio waliofanikiwa kuingia tatu bora ambao ni Neema Lema, Happiness Samweli na Nancy Ally.
Kwa upande wa burudani alikuwepo Dr. Jose Chameleone.
No comments:
Post a Comment