ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

KHERI YA SIKU YA KUZALIWA MUME WANGU

Dola Ahemed kutoka Illinois, USA
Leo ni siku yako ya kuzaliwa mpenzi wangu mzazi wa watoto wetu, mwangaza wa maisha yangu. Mimi mkeo na watoto tunakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwenye hii siku yako ya kuzaliwa maalum kwako na kwa maisha yetu sote sisi tunakupenda sana Mungu akupe maisha marefu.

No comments: