ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

ZAMBI APOKEA KERO ZA WAKULIMA NEWALA

Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala akifungua mkutano wa wananchi na Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto kwa DC) Wilayani humo. Ambapo mbali na kufanya ziara Zambi alipokea kero mbalimbali za wananchi wa Newala katika kilimo hasa zao la Korosho na Ufuta.
Wananchi wakishangilia jambo mkutanoni hapo.
Mmoja wa wananchi wa Newala akitoa kero yake ya kilimo kwa Naibu waziri.
Hoja iliungwa mkono na wananchi wote
Kero nyingine ilitolewa...
Wananchi wakifuatilia mkutano huo kwa makanini
Mbunge wa Jimbo la Newala ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika, akizungumza jambo katika mkutano huo ikiwa ni pamoja na kumshukuru Naibu Waziri kwa kufanya zira jimboni kwake na kusikia kero mbalimbali za wapiga kura wake.

No comments: