Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono na Sheikh Mohd Khamis (aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Mjini, baada ya futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni Haji, wakati wa futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Sheikh Mohd Khamis akiongoza Sala ya Magharibi nyumbani kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Mbweni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment