ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 7, 2014

FLASHBACK

 Mashaka Bilal mkazi wa DMV ametutumia picha timu ya Vijimambo enzi hizo za mika 1979 alivyokuwa na muonekano wa mvuto kama anavyoonekana kwenye hizi picha zake 2, kweli tunatoka mbali
Mashaka Bilal anavyoonekana sasa hivi

2 comments:

Anonymous said...

Hongera Mashaka! Hiyo pich hapo juu, nakumbuka ilikuwa " Happy Photo Studio", mtaa wa Aggrey/ Congo. Tulipo kuwa tunacheza mpira wa soksi mbele ya club ya Red Star enzi hizo.Salam toka kwa:
**Sensei Rumadha.

Anonymous said...

WEE MASHAKA!!!!! ACHA MANENO YAKO, KUMBE ULIANZA SIKU NYING ZA CHINI CHINI HEEEEEEEEE!!!!!! LOOK GOOD MEN BUT ZEEEKA IKO HIYOOOOO!!!!!!!!!!!!